Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

AY ATANGAZA VITA KWA WATU WALIOUPLOAD YOUTUBE KINYEMELA VIDEO…

  • October 26, 2017

Rapper AY amesema hacheki na kima awamu hii. Amedai kuwa wale wote walioupload video ya wimbo wake na Mwana FA na Fid Q, Upo Hapo wanajitafutia matatizo makubwa.

Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, AY amesema amesikitishwa na kitendo hicho kwakuwa gharama, muda na nguvu vimetumika kuandaa video hiyo.

Wamesema wamiliki wa video hiyo, Mkito walifile complain Youtube ili wale wote walioweka video hiyo waitoe, ajabu wapo waliojibu kwa kusema ni video yao, kitu ambacho kimewaudhi zaidi.

Kutokana na hilo, AY amesema watawasaka wote waliofanya hivyo ili kuwafunza adabu.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Chelsea yailaza Everton na kutinga robo fainali ya Carabao.
SOUND ENGINEER WA CARDI B AMUOMBA RADHI BEYONCE KWA KUVUJISHA TAARIFA ZA COLLABO YAO

Related articles

Mashabiki wa klabu ya YANGA…
Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na…
STEPH CURRY aiongoza Golden State…
ShiiKANE Diamond alistahili tuzo
The Story of Adisson yaharibu…
Nicki Minaj kuachia albamu yake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise