Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

Basi lapata ajali Tabora laua

  • April 5, 2018

Taarifa kutoka mkoani Tabora asubuhi hii ya leo April 6, 2018 ni kutokea kwa ajali Igunga mkoani Tabora ambapo basi la City Boys lililokuwa likitokea Karagwe kwenda DSM kugongana uso na fuso na inasemekana kuna watu wamefariki ila bado idadi yao haijathibitishwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa alipopigiwa simu kuthibitisha ajali na kuweza kufahamu idadi ya vifo simu yake ilipokelewa na RCO nakusema RPC yupo anahangaikia majeruhi atatoa taarifa kamili akimaliza.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Brazil: Lula da Silva kufungwa miaka 12 jela
Trump aapa ”kutumia nguvu” kujibu shambulio ”la kemikali” Syria

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise