Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Burundi kuitambulisha katiba mpya siku ya Alhamis

  • June 5, 2018

Hata hivyo wapinzani na baadhi ya nchi za kigeni wamekosoa mchakato huo mzima kwamba haukuzingatia sheria na katiba mpya inanuwia kumbakiza madarakani Rais Read more “Burundi kuitambulisha katiba mpya siku ya Alhamis” →

International

ISRAEL: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anaanza ziara barani Ulaya.

  • June 4, 2018June 4, 2018

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,anaanza ziara katika nchi za Ulaya. Kituo cha kwanza cha ziara yake ni Ujerumani  ambako anakuja katika nchi ambayo ina mafungamano na Read more “ISRAEL: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anaanza ziara barani Ulaya.” →

International

Pellegrini aporwa na majambazi wenye bunduki

  • June 4, 2018

Meneja wa West Ham Manuel Pellegrini ameporwa na majambazi waliokuwa na bunduki nchini Read more “Pellegrini aporwa na majambazi wenye bunduki” →

International

KENYA: Shule yafungwa baada ya tuhuma za kubakwa kwa…

  • June 4, 2018June 4, 2018

Shutuma kali zimeibuka nchini Kenya katika mitandao ya kijamii huku masuali mengi yakiulizwa kuhusu usalama wa watoto wanaosoma katika shule za mabweni baada ya tuhuma kwamba Read more “KENYA: Shule yafungwa baada ya tuhuma za kubakwa kwa wasichana shuleni.” →

International

Watu 7 wafariki baada ya mlima kulipuka volkano, Guatemala.

  • June 4, 2018June 4, 2018

Serikali ya Guatemala imesema kuwa majivu ya volkano kutoka mlima mmoja unaoendelea kulipuka, yamesababisha vifo vya watu saba na kuwajeruhi wengine Read more “Watu 7 wafariki baada ya mlima kulipuka volkano, Guatemala.” →

International

Marekani kuiwekea EU ushuru katika bidhaa

  • June 1, 2018

Marekani imesema itaweka ushuru katika bidhaa za chuma cha pua na bati zinazoingizwa kutoka nchi za Umoja wa Ulaya, Canada na Read more “Marekani kuiwekea EU ushuru katika bidhaa” →

Posts navigation

1 2 3 4 … 54

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise