International

Untitled

Wafugaji wa jamii ya Wamaasai kutoka Kenya wamekuwa wakivuka mpanga na kuingia Tanzania kutafuta malisho.

Serikali ya Tanzania imetetea hatua yake ya kuwakamata na kuwapiga mnada mifugo pamoja na kuteketezwa kwa vifaranga kutoka nchi jirani ya Kenya.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kupitia taarifa kwamba Tanzania ilifuata Read more “Untitled”