Local

Urambo, TABORA: Kijana ahukumiwa jela miaka saba kwa wizi…

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya URAMBO,HASSAN MOMBA amesema kuwa amelazimika kutoa adhabu hiyo ili liwe fundisho kwake na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.

Kijana BARAKA SAMSONI,mkazi  wa KIBAONI mkoani SINGIDA amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya URAMBO kutumikia kifungo cha miaka SABA jela baada ya kukiri kuiba Read more “Urambo, TABORA: Kijana ahukumiwa jela miaka saba kwa wizi wa gari.”