Local

Makabidhiano ya miti kati ya UVISATA na uongozi wa…

Miche ya Miti ikiwa katika Vitalu.

Vijana Mjini TABORA wameshauriwa kuacha tabia ya kukaa vijiweni badala yake wajishughulishe na kazi mbali mbali za kijamii ili kuujenga Mkoa wa TABORA.

Ushauri huo umetolewa na Diwani wa kata ya GONGONI Bwana KESS SHARIFU ABDULAHMANI katika hafla fupi ya makabidhiano ya Read more “Makabidhiano ya miti kati ya UVISATA na uongozi wa kata ya GONGONI kama anavyotuhabarisha mwanahabari wetu.”

Local

Baadhi ya shule Mkoani TABORA zimeweka mazingira mazuri kwa…

Mwalimu wa mazingira MAHALALA NICHOLAUS na mwalimu wa afya AGNESS LUGONDA wa shule ya sekondari KAZEHILI wameziomba asasi mbalimbali kuwasaidia kutoa vifaa kama pedi na dawa ambazo zitawasaidia wanafunzi watakapokuwa katika kipindi cha hedhi.

Baadhi ya shule Mkoani TABORA zimeweka mazingira mazuri kwa ajili ya wanafunzi wa kike kujisitiri wanapokuwa katika kipindi cha hedhi.

Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu Mkoa wa TABORA Bi SUZAN NUSU akisema kuwa mikakati inaendelea kuhakikisha kila shule inakuwa na chumba maalumu kwa ajili ya wanafunzi ambao wamefikia Read more “Baadhi ya shule Mkoani TABORA zimeweka mazingira mazuri kwa ajili ya wanafunzi wa kike kujistiri wanapokuwa katika kipindi cha hedhi.”

Local

Shule ya sekondari ya kata ya ITONJANDA katika Halmashauri…

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya kata ya ITONJANDA katika Halmashauri ya Manispaaa ya TABORA wanakabiliwa na matatizo mbalimbali kutokana na  kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.

Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, KALIZA RAPHAEL na ROBERT RICHARD wa kidato cha nne katika shule hiyo wamesema wamekuwa wakikumbana na vitisho Read more “Shule ya sekondari ya kata ya ITONJANDA katika Halmashauri ya Manispaaa ya TABORA wanakabiliwa na matatizo mbalimbali kutokana na kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.”