Local

Hospitali ya Misheni Rulenge yaomba msaada kuokoa maisha ya…

Ngara. Majeruhi 43 wa bomu lililolipuka katika Shule ya Msingi Kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Rulenge baadhi wanahitaji kuongezewa damu ili kuokoa maisha yao. Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Dk Revocatus Ndyekobora amesema kati ya majeruhi hao, wanafunzi ni 42 na mwalimu wao wa darasa wanahitaji uniti 50 za Read more “Hospitali ya Misheni Rulenge yaomba msaada kuokoa maisha ya majeruhi.”