Local

Baadhi ya wanasiasa katika halmashauri ya Manispaa ya TABORA…

Mr. Mshumbusi , EDGAR PASTORY.

Baadhi ya wanasiasa hao,KANANDA PAULO¬† diwani wa kata ya MBUGANI kupitia Chama cha Mapinduzi CCM na Katibu wa Chama cha Demekrasia na Maendeleo-CHADEMA,MSABAHA KAMBAMBOVU wamesema Tume ya Uchaguzi na Read more “Baadhi ya wanasiasa katika halmashauri ya Manispaa ya TABORA wamesema uchaguzi wa marudio nchini KENYA siyo huru na haki kutokana kutoshirikisha vyama vingine vya siasa na wananchi wote.”

Local

Kamati ya Mfuko wa Jimbo la TABORA MJINI imetoa…

Kamati ya Mfuko wa Jimbo la TABORA MJINI imetoa shilingi milioni SITA na LAKI SABA kusaidia wananchi waliopata maafa ya mvua mapema mwezi huu katika kata za TUMBI na MISHA na kuboresha elimu katika shule ya sekondari KANYENYE na shule ya msingi MAPAMBANO.

Akizungumza na wananchi 19 wa kata ya MISHA walioezuliwa nyumba zao ambao kila mmoja amekabidhiwa shilingi Read more “Kamati ya Mfuko wa Jimbo la TABORA MJINI imetoa shilingi milioni SITA na LAKI SABA kusaidia wananchi waliopata maafa ya mvua mapema mwezi huu.”