Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

Klabu ya soka ya RHINO RANGERS ya mkoani TABORA…

  • September 22, 2017September 22, 2017
Wachezaji wa Rhino Rangers FC wakifanya mazoezi katika uwanja wa Mwinyi.

Klabu ya soka ya RHINO RANGERS ya mkoani TABORA inashuka dimbani kesho kucheza na TRANSIT ya Read more “Klabu ya soka ya RHINO RANGERS ya mkoani TABORA inashuka dimbani kesho kucheza na TRANSIT ya Shinyanga.” →

Local

Mahakama ya rufaa TANZANIA Mkoani Tabora imeanza kikao cha…

  • September 22, 2017


Mahakama ya Rufaa TANZANIA imeanza kikao cha wiki mbili mkoani TABORA chini ya uenyekiti wa Jaji MBAROUK SALIM ambapo jumla ya mashauri 25 yatasikilizwa na Read more “Mahakama ya rufaa TANZANIA Mkoani Tabora imeanza kikao cha kusikiliza Mashauri 25.” →

Local

Mamlaka ya Mapato TANZANIA –TRA- mkoa wa TABORA inakusudia…

  • September 22, 2017

Meneja Msaidizi upande wa madeni na ulipaji wa kodi kwa hiari -TRA mkoa wa TABORA,Bwana ELINAMI TERRY amesema vipaumbele vikubwa ni Read more “Mamlaka ya Mapato TANZANIA –TRA- mkoa wa TABORA inakusudia kukusanya shilingi Bilioni 25 katika mwaka huu wa fedha 2017-2018.” →

Local

Upatikanaji wa maji katika mji wa TABORA umepungua kutoka…

  • September 22, 2017September 22, 2017
Tanki la maji.

Upatikanaji wa maji katika mji wa TABORA umepungua kutoka mita za ujazo milioni 17 hadi Read more “Upatikanaji wa maji katika mji wa TABORA umepungua kutoka mita za ujazo milioni 17 hadi milioni 10 kwa sasa.” →

Local

Leo ikiwa ni mwaka mpya wa kiislamu,waislamu mkoani TABORA…

  • September 22, 2017


Leo ikiwa ni mwaka mpya wa kiislamu,waislamu kote duniani wakikumbuka tukio la Hijra Mtume MUHAMAD kuhama mji mtukufu wa MAKKA kwenda MADINA,waislamu mkoani TABORA wametakiwa Read more “Leo ikiwa ni mwaka mpya wa kiislamu,waislamu mkoani TABORA wametakiwa kujitathmini na kujikita katika uchamungu.” →

Local

Mkoa wa Tabora watajwa kuongoza Mimba za utotoni.

  • September 19, 2017September 20, 2017

Wakati mkoa wa TABORA ukitajwa kuongoza katika janga la mimba za utotoni tabia ya baadhi ya wazazi kuwaozesha mabinti wadogo ni sababu mojawapo ya mimba za utotoni. Read more “Mkoa wa Tabora watajwa kuongoza Mimba za utotoni.” →

Posts navigation

1 … 50 51 52 53

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise