Local

TABORA: Wananchi mtaa wa KARIAKOO watakiwa kusitisha shughuli zozote…

Serikali wilayani TABORA imewataka wananchi wa mtaa wa KARIAKOO,kata ya KITETE wanaoishi karibu na uwanja wa ndege wasiendeshe shughuli zozote za maendeleo ili kupisha upanuzi wa uwanja huo.

Afisa Mipango Miji Manispaa wa Manispaa ya TABORA, GORDON MWAKALUKA amesema Read more “TABORA: Wananchi mtaa wa KARIAKOO watakiwa kusitisha shughuli zozote za maendeleo kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege.”

Local

Tatizo la ukatili na unyanyasaji wa watoto litapungua ikiwa…

Tatizo la ukatili na unyanyasaji wa watoto litapungua na kuwaepusha kuishi katika mazingira hatarishi ikiwa watajengewa misingi mizuri ya maisha.

 Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu,HOSEA KAMCHAPE amesema watoto wanaofanyiwa na kufanyiana vitendo vya ukatili na udhalilishaji ni kutokana na kukosa Read more “Tatizo la ukatili na unyanyasaji wa watoto litapungua ikiwa watajengewa misingi mizuri ya maisha.”