International

NAIROBI, Mahakama ya Juu KENYA yashindwa kusikiliza kesi ya…

Waandamanaji wanaomuunga mkono Raila Odinga wakiwa katika Matatu.

Mahakama ya Juu KENYA yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani.

Jaji Mkuu DAVID MARAGA amesema baadhi ya majaji wapo Read more “NAIROBI, Mahakama ya Juu KENYA yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani.”

Local

Zaidi ya shilingi Bilioni 23 na Milioni 200 zimetumika…

Tasaf.

Zaidi ya shilingi Bilioni 23 na Milioni 200 zimetumika kunusuru kaya maskini na miradi mbalimbali ya maendeleo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini- TASAF)

Mratibu wa TASAF mkoa wa TABORA,NGOKO BHUKA katika taarifa yake kwa viongozi wa TASAF makao makuu amesema fedha hizo zimetumika kuanzia mwaka Read more “Zaidi ya shilingi Bilioni 23 na Milioni 200 zimetumika kunusuru kaya maskini na miradi mbalimbali ya maendeleo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini- TASAF”