International

Uchaguzi Kenya: Mkuu wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati…

Wafula Chebukati

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya Wafula Chebukati akutana na mgombea urais wa upinzani Raila Odinga.

Bw Chebukati amesema anatarajia kukutana na mgombea wa chama tawala cha Jubilee Uhuru Kenyatta baadaye.

“Mkutano huo utafuatwa na mkutano wa pamoja wa wawili hao,” ameandika kwenye Twitter Gazeti la kibinafsi la Nation limesema wawili hao walikutana kwa takriban dakika Read more “Uchaguzi Kenya: Mkuu wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati akutana na Raila Odinga”