Local

Wakulima wa tumbaku katika kijiji cha ILALWANSIMBA kata ya…

Shamba la Tumbaku.

Wakulima wa tumbaku katika kijiji cha ILALWANSIMBA kata ya ISIKIZYA wilaya ya UYUI wamewaomba wataalamu kutengeneza mabani banifu ya majaribio kukaushi zao hilo ili kufahamu ubora wake.

Hayo yamebainisha na baadhi ya wakulima wa kijiji hicho ambao wamejenga mabani hayo kwa maelekezo ya wataalamu ambayo hajakausha Read more “Wakulima wa tumbaku katika kijiji cha ILALWANSIMBA kata ya ISIKIZYA wilaya ya UYUI wamewaomba wataalamu kutengeneza mabani banifu ya majaribio kukaushi zao hilo ili kufahamu ubora wake.”