Local

Serikali imeshauriwa kuangalia upya sheria ya elimu namba 25…

Serikali imeshauriwa kuangalia upya sheria ya elimu namba 25 ya mwaka 1978  kuhusu adhabu ya kufutwa shule kwa  mwanafunzi asiyehudhuria  shuleni kwa muda wa siku 90 mfululizo ili Read more “Serikali imeshauriwa kuangalia upya sheria ya elimu namba 25 ya mwaka 1978 kuhusu adhabu ya kufutwa shule kwa mwanafunzi asiyehudhuria shuleni kwa muda wa siku 90 mfululizo ili kukabiliana na tatizo la utoro kwa wanafunzi.”

Local

Fedha za ruzuku zinazotolewa na serikali kwa shule za…

Rafiki wa Mtandao wa Elimu TABORA,YAHYA HEMED amesema pamoja na shule nyingi kutumia fedha za ruzuku vizuri kwa mwaka wa fedha wa 2016-2017 lakini wakuu wa shule hawakuzingatia mwongozo ulio katika mtaala akitoa mfano kwa shule za msingi.

Wakuu wa shule za msingi na sekondari wametakiwa kutumia fedha za ruzuku za wanafunzi zinazotolewa na serikali kwa kuzingatia mwongozo wake.

Rafiki wa Mtandao wa Elimu TABORA,YAHYA HEMED amesema pamoja na shule nyingi kutumia fedha za ruzuku vizuri kwa mwaka wa fedha wa 2016-2017 lakini wakuu wa shule hawakuzingatia Read more “Fedha za ruzuku zinazotolewa na serikali kwa shule za msingi na sekondari kutakiwa kuzingatia mwongozo wa matumizi ya fedha hizo.”