International

Mtu aliyepanga kumuua Rais Vladimir Putin ajeruhiwa Ukrain.

Amina Okuyeva na mumewe walipigana dhidi ya makundi yanayoiunga mkono Urusi.

Mwamamue moja kutoka Chechenia ambaye analaumiwa kwa kupanga kumuua rais wa Urusi Vladimir Putin amejeruhiwa na mke wake kuuliwa wakati wa shambulizi karibu na mji mkuu wa Ukrain Kiev.

Adam Osmayev alijeruhiwa lakini anaweza kuishi baada ya gari alilokuwa akilitumia kumiminiwa risasi kwa Read more “Mtu aliyepanga kumuua Rais Vladimir Putin ajeruhiwa Ukrain.”