Sports

Panama yatangaza siku ya kitaifa baada ya kufuzu kwa…

Kocha wa Panama Dario Gomez (samawati) akisherehekea na Roman Torres baada ya kuwashinda Costa Rica T.

Rais wa Panama ametangaza siku ya Jumatano kuwa siku ya kitaifa baada ya nchi hiyo kufuzu kwa mechi za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanaa kabisa.

Juan Carlos Varelaā€¸ aliandika katika Twitter, “Sauti za watu zimesikika…Kesho ni siku ya kitaifa.”

Panama ilishinda Costa Rica mabao Read more “Panama yatangaza siku ya kitaifa baada ya kufuzu kwa Kombe la Dunia.”