Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Sports

Man City washindi wa kombe la Carabao, wailaza Arsenal…

  • February 26, 2018

Pep Guardiola ameshinda taji lake la kwanza msimu huu baada ya Manchester City kuifunga Arsenal katika fainali za kombe la Carabao Read more “Man City washindi wa kombe la Carabao, wailaza Arsenal 3-0” →

Sports

Messi aiokoa Barcelona Uingereza Michuano ya Ligi Kuu Barani…

  • February 21, 2018

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi jana usiku amefanikiwa kuiokoa klabu yake kutoka kwenye kipigo kwa kuisawazishia goli Read more “Messi aiokoa Barcelona Uingereza Michuano ya Ligi Kuu Barani Ulaya.” →

Sports

Masoud Djuma azungumzia hali ya Manula na Bocco kucheza…

  • February 20, 2018

Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amezungumzia hali ya mlindalango wao Aishi Manula kuwa yupo vizuri na atakuwa sehemu Read more “Masoud Djuma azungumzia hali ya Manula na Bocco kucheza leo” →

Nigeria Image by StarAfrica Sports

Jumapili hii ni NIGERIA vs MOROCCO katika michuano ya…

  • February 1, 2018February 1, 2018

Timu ya Taifa ya NIGERIA itakutana na wenyeji MOROCCO katika fainali ya C kwa wachezaji wanaocheza katika bara la Read more “Jumapili hii ni NIGERIA vs MOROCCO katika michuano ya AFRIKA-CHAN” →

Sports

TABORA: MILAMBO FC na JKT MSANGE Uso kwa Uso…

  • February 1, 2018February 1, 2018

Timu za MILAMBO FC na JKT MSANGE zote za TABORA zitakuwa katika wakati mgumu keshokutwa wakati zitakapokutana katika mchezo wa mwisho wa Ligi Daraja la Read more “TABORA: MILAMBO FC na JKT MSANGE Uso kwa Uso Ligi Daraja la Pili.” →

Sports

Arsenal wacharazwa na Swansea City.

  • January 31, 2018

Swansea City waliondoka kwenye eneo la hatari ya kushushwa daraja Ligi ya Premia kwa mara ya kwanza tangu Novemba baada ya kuwalaza Arsenal.

Kosa la ajabu kutoka kwa Petr Cech lilimpa nafasi Read more “Arsenal wacharazwa na Swansea City.” →

Posts navigation

1 2 3 4 5 … 15

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise