Sports

Rooney ashindwa kuisaidia Everton Goodison Park.

Straika wa Everton Wayne Rooney.

Klabu ya Everton inayodhaminiwa na kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa hapo jana ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani wa Goodison Park ilikubali kipigo kibaya cha mabao 5-2 dhidi ya Arsenal mchezo wa Ligi Kuu nchini Uingereza.

Waliyoihangamiza ngome ya Everton usiku wa jana walikuwa ni wachezaji,Mesut Ozil, Nacho Monreal , Alexandre Lacazette na Aaron Ramsey wakiifungia Arsenal wakati Wayne Rooney akiifungia The Toffee bao lake la kwanza wakati lapili likifungwa na Oumar Niasse.

Kwa matokeo hayo Everton mpaka sasa inakuwa imepoteza idadi ya michezo mitano wakati Arsena ikipaa kileleni hadi nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi.

Sports

Mesut Ozil ataka kuondoka Arsenal ajiunge na Manchester United.

Mesut Ozil, 29.

Taarifa kubwa barani ULAYA ni kwamba mchezaji nyota wa kikosi cha washika bunduki ARSENAL MESUT OZIL Anataka kuondoka ndani ya kabu hiyo na kuijunga na mashetani wekundu MANCHESTER UNITED msimu ujaio.

Kwa mujibu wa gazeti la DAILY MIRROR, OZIL mwenye umri wa miaka 29 amesema anaamini mpango huo utakamilika na Read more “Mesut Ozil ataka kuondoka Arsenal ajiunge na Manchester United.”