Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Sports

Harry Kane atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka…

  • March 2, 2018

Mchezaji nyota wa klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Uingereza, Harry Kane amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa London Football (London Football Awards).

Harry Kane akiwa na tuzo ya London Football Awards

Katika kinyang’anyiro hicho cha mchezaji bora wa mwaka, Kane ameshindana na Cesar Azpilicueta, Heung-Min Son, Christian Eriksen na Wilfried Zaha.

Kocha wa Crystal Palace, Roy Hodgson akizawadiwa tuzo meneja bora wa mwaka 

Meneja wa Crystal Palace, Roy Hodgson ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwaka katika sherehe hizo zilizofanyika Battersea Evolution.

Ryan Sessegnon (left) poses with Sol Campbell after claiming the young player honour

Ryan Sessegnon (kushoto) akiwa na Sol Campbell akiwa na tuzo yake

Katika sherehe hizo aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza amepewa tuzo ya heshima huku Ryan Sessegnon akitwaa ya uchezaji bora wa mwaka  wa EFL.

Meneja wa West Ham, David Moyes akiwa amewasili Battersea Evolution

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Serikali yazindua huduma ya usajili wa laini za simu kwa alama za vidole.
TABORA: Walimu watakiwa kuongeza juhudi katika ufundishaji ili kuongeza ufaulu.

Related articles

Simba Yamsajili Adam Salamba.
Roman Abrahamovich ahamia Israel.
Kipa wa Liverpool atishiwa maisha.
Haji Manara, Simba na Yanga…
Serengeti Boys wa Tanzania watwaa…
Wachezaji wanajua umuhimu wa mechi…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise