Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Jackie Chan athibitisha ujio wa filamu ya ‘Rush Hour…

  • October 9, 2017

Umekuwa mfuatiliaji wa filamu za Rush Hour za Jackie Chan?

Chan kutoka China amethibitisha kuwa muendelezo wa filamu hiyo ambayo ni Rush Hour 4 itatoka. Akiongea na kipindi ha The Cruz Show kupitia Radio ya Power 106 FM, muigizaji huyo amethibitisha hilo.

“For the last seven years we’ve been turning down the script, turning down the script, yesterday we just agreed. Probably end of this month they’ll have a second draft. Next year they’ll probably start, I hope if Chris Tucker agrees,” amesema Jackie.

Inadaiwa kuwa filamu hiyo itaanza kutengenezwa mwakani.

Huenda msanii wa Bollywood SRK Shah Rukh Khan akashirikishwa katika filamu hiyo.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wananchi wametakiwa kuepuka matumizi ya bidhaa za vyakula na dawa zilizopita muda wake wa matumizi pamoja na vipodozi vyenye viambata sumu ili kujiepusha na madhara wanayoweza kumpata mtumiaji.
Ivana Trump: Melania ajibizana na mke wa zamani wa Trump.

Related articles

Mashabiki wa klabu ya YANGA…
Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na…
STEPH CURRY aiongoza Golden State…
ShiiKANE Diamond alistahili tuzo
The Story of Adisson yaharibu…
Nicki Minaj kuachia albamu yake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise