Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

JACQUELINE WOLPER AMUUMIZA ROHO SARAH KWA KUIPA PROMO ‘SHULALA’…

  • October 18, 2017
Jacqueline Wolper.

Jacqueline Wolper ametuma mashambulizi kwa mwanamke aliyemkwapua Raaj wake – Sarah. Baada ya raia huyo wa Italia kumlipua Wolper kwa kupost screeshot ya chat ya Whatsapp kwenye Instagram akimchimba mkwara, staa huyo wa filamu amejibu mapigo kwwa kupost video akiusifia wimbo mpya wa Harmonize, Shulala na kuweka kijembe.

Kwenye post moja Wolper ameandika: Haka ka nyimbo kazuriii sana na video pia ndo usiseme!..bwana Raaaaaj umejua kunyoosha!Kama bado haujaangalia video ya haka ka wimbo pita kwenye bio ya @harmonize_tz
#Uliyemchokozakaja #Shulala.. #NaUkinibipuTuNakupigia.”

Na nyingine ameandika: Shulala ni fire 👌 #uliyemchokozakaja
Kwa Bio ya bwana Raj utapata udambuuu wote @harmonize_tz
#Uliyemchokozakaja #NaUkinibipuTuNakupigia.”

Wolper na Harmonize waliachana miezi kadhaa iliyopita na kila mmoja akashika njia yake. Harmo alizama kwa mzungu wake Sarah na Wolper kupata huba toka kwa BFF wake, Brown ambaye hata hivyo kuna dalili kuwa hawapo pamoja tena.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

NICKI MINAJ AKANUSHA KUDAI YEYE NI CHANZO CHA RAPPERS WA KIKE KWENDA MAINSTREAM
Mamake mwanajeshi wa Marekani asema Trump hakuwa na huruma.

Related articles

Mashabiki wa klabu ya YANGA…
Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na…
STEPH CURRY aiongoza Golden State…
ShiiKANE Diamond alistahili tuzo
The Story of Adisson yaharibu…
Nicki Minaj kuachia albamu yake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise