Mamlaka ya Mapato TANZANIA –TRA- mkoa wa TABORA inakusudia…
Meneja Msaidizi upande wa madeni na ulipaji wa kodi kwa hiari -TRA mkoa wa TABORA,Bwana ELINAMI TERRY amesema vipaumbele vikubwa ni kupanua wigo wa kodi kwa kusajili walipa kodi wapya.
Amesema mwaka wa fedha 2016-2017 hawakuweza kufikia lengo la kukusanya Bilioni 24.25 na badala yake walikusanya shilingi Bilioni 22.57 sawa na asilimia 92 ya lengo.