Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Sports

Man City washindi wa kombe la Carabao, wailaza Arsenal…

  • February 26, 2018

Pep Guardiola ameshinda taji lake la kwanza msimu huu baada ya Manchester City kuifunga Arsenal katika fainali za kombe la Carabao mchezo uliopigwa kwenye dimba la Wembley.

Man City wameshinda kwa magoli 3-0 katika mchezo ambao City ilitawala kwa kiasi kikubwa.

Magoli ya City yamepachikwa na Sergio Aguero baada ya kupokea pasi kutoka kwa Claudio Bravo, Vincent Kompany akafunga la pili na David Silva akafunga la tatu na la ushindi.

Wachezaji wa City wakishangilia kikombe cha kwanza kwa msimu huu
Image captionWachezaji wa City wakishangilia kikombe cha kwanza kwa msimu huu

City wametoa kichapo hicho baada ya kuondolewa katika kombe la FA siku ya Jumatatu walipocheza na Wigan Athletic.

Arsenal haikuonyesha makali yake, huku msambuliaji wake mpya Pierre-Emerick Aubameyang akishindwa kung’ara.

Arsenal hawakuwa na kiwango cha kuridhisha
Image captionArsenal hawakuwa na kiwango cha kuridhisha

Vincent Kompany ambaye alikosekana uwanjani kwa muda mrefu alichaguliwa kuwa mchezaji bora.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wanawake 15 wapiganaji wa IS raia wa Uturuki wahukumiwa kifo Iraq
Dodoma yaanza kutekeleza kwa vitendo dhana ya ujenzi wa uchumi wa viwanda

Related articles

Simba Yamsajili Adam Salamba.
Roman Abrahamovich ahamia Israel.
Kipa wa Liverpool atishiwa maisha.
Haji Manara, Simba na Yanga…
Serengeti Boys wa Tanzania watwaa…
Wachezaji wanajua umuhimu wa mechi…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise