Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Sports

Chamberlain amekataa uhamisho.

  • August 30, 2017August 30, 2017

Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain amekataa uhamisho wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali dau la £40m.
Oxlade Chamberlain anaamini kwamba Chelsea ilipanga kumtumia kama beki wa kulia huku lengo lake kuu la kutaka kutoka Arsenal likiwa hatua ya kuchezeshwa katikati.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 sasa anataka kuelekea Liverpool.
Ombi kutoka Liverpool linatarajiwa kabla ya kukamilika kwa siku ya mwisho ya uhamisho Alhamisi ijapokuwa huenda kitita atakachonunuliwa kikawa chini ya kile ambacho Chelsea wanataka kutoa.
Iwapo hakutakuwa na makubaliano Oxlade Chamberlain yuko tayari kukamilisha Mkataba wake msimu huu kabla ya kuondoka kama mchezaji huru msimu ujao.
Arsenal wanataka makubaliano yoyote ya mchezaji huyo kuafikiwa haraka iwezekanavyo.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Angelique Kerber ameondoshwa
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani kitendo cha KOREA KASKAZINI

Related articles

Simba Yamsajili Adam Salamba.
Roman Abrahamovich ahamia Israel.
Kipa wa Liverpool atishiwa maisha.
Haji Manara, Simba na Yanga…
Serengeti Boys wa Tanzania watwaa…
Wachezaji wanajua umuhimu wa mechi…

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise