Local

Urambo, TABORA: Kijana ahukumiwa jela miaka saba kwa wizi…

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya URAMBO,HASSAN MOMBA amesema kuwa amelazimika kutoa adhabu hiyo ili liwe fundisho kwake na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.

Kijana BARAKA SAMSONI,mkaziĀ  wa KIBAONI mkoani SINGIDA amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya URAMBO kutumikia kifungo cha miaka SABA jela baada ya kukiri kuiba Read more “Urambo, TABORA: Kijana ahukumiwa jela miaka saba kwa wizi wa gari.”

International

Picha ya faru aliyeuawa yashinda tuzo ya picha bora

Picha ya kutisha ya uhalifu wa mazingira imetangazwa kuwa mshindi katika tuzo za shindano la wapiga picha la mwaka huu.

Picha ya kutisha ya uhalifu wa mazingira imetangazwa kuwa mshindi katika tuzo za shindano la wapiga picha la mwaka huu.

Picha hiyo iliopigwa na mpiga picha wa Afrika Kusini Brent Stirton inaoyesha hali ya faru mweusi katika mbuga ya wanyama pori ya Hluhluwe Imfolozi.

Wawindaji haramu walimuua mnyama huyo usiku kabla ya Read more “Picha ya faru aliyeuawa yashinda tuzo ya picha bora”