Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema chama chake hakitaegemea…

  • September 26, 2017September 26, 2017

Kansela wa Ujerumani ,Angela Merkel amesema kuwa chama chake hakitaegemea sera za mrengo wa kulia kujaribu kuwashawishi wapiga kura ambao Read more “Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema chama chake hakitaegemea Sera za mrengo wa kulia kushawishi wapiga kura” →

International

Somalia na Umoja wa Afrika yaanza kikao cha kutathmini…

  • September 26, 2017

Somalia na Tume ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika nchini humo AMISOM zimeanzisha mkutano wa siku tatu kutathmini tishio linalotokana na mabomu ya kutengenezwa kienyeji na Read more “Somalia na Umoja wa Afrika yaanza kikao cha kutathmini tishio la mabomu ya kutengenezwa kienyeji.” →

International

MAREKANI imeilalamikia KOREA KASKAZINI kwa kauli yake kuwa ina…

  • September 26, 2017

Msemaji wa Ikulu ya Marekani ya white house Sarah Huckabee Sanders, amewaambia waandishi wa habari kuwa Read more “MAREKANI imeilalamikia KOREA KASKAZINI kwa kauli yake kuwa ina haki ya kuzitungua ndege za kivita za MAREKANI hata kama zipo nje ya anga la taifa hilo.” →

International

Misri: Mashabiki 12 wa soka wahukumiwa kunyongwa na wengine…

  • September 25, 2017September 25, 2017
Fujo katika uwanja wa Port Said huko Cairo Misri.

 

Mahakama nchini Misri imewahukumu kunyongwa hadi kufa mashabiki wa soka  kumi na wawili na wengine wawili kwenda jela maisha kutokana na kuanzisha vurugu katika uwanja wa   Port Said mwezi Read more “Misri: Mashabiki 12 wa soka wahukumiwa kunyongwa na wengine 2 wafungwa kifungo cha maisha jela.” →

Local

Milambo FC tunaelekeza nguvu zetu katika ligi daraja la…

  • September 25, 2017September 25, 2017
Kikosi cha Milambo FC kilichocheza dhidi ya Simba SC ya jijini Dar es Salaam

Baada ya kutoka sare tasa na wekundu wa msimbazi SIMBA katika mchezo wa kirafiki,klabu ya soka ya MILAMBO FC ya mkoani TABORA imesema Read more “Milambo FC tunaelekeza nguvu zetu katika ligi daraja la pili.” →

Local

Wananchi wa mkoa wa TABORA wamehimizwa kujiunga na Mfuko…

  • September 25, 2017

Wananchi wa mkoa wa TABORA wamehimizwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Watoto maarufu kama  TOTO AFYA KADI  ili kuepuka Read more “Wananchi wa mkoa wa TABORA wamehimizwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Watoto maarufu kama TOTO AFYA KADI ili kuepuka kero ya matibabu.” →

Posts navigation

1 … 133 134 135 136 137 … 140

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise