Local

Mkuu wa mkoa wa TABORA bwana AGGREY MWANRI ametaka…

Jiko Sanifu.

Mkuu wa mkoa wa TABORA,Bwana AGGREY MWANRI ameagiza watumishi wote  wa halmashauri ya wilaya ya UYUI walioshindwa kutekeleza mradi wa usimamizi endelevu wa Miombo wa ujenzi wa mabanda ya kuku na majiko sanifu wilayani humo wachukuliwe hatua.

Watumishi hao ni Read more “Mkuu wa mkoa wa TABORA bwana AGGREY MWANRI ametaka watumishi wote walioshindwa kutekeleza mradi wa miombo wa ujenzi wa mabanda ya kuku na majiko sanifu katika wilaya ya UYUI wachukuliwe hatua.”