Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Entertainment

Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na Madensa wake wafyatuliwa risasi.

  • June 4, 2018June 4, 2018

Msanii wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade amejikuta na hali ya taharuki akiwa location baada ya askari polisi mjini Lagos  kumtawanya yeye na madensa wake kwa kupiga risasi Read more “Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na Madensa wake wafyatuliwa risasi.” →

Entertainment

STEPH CURRY aiongoza Golden State Warriors kushinda fainali dhid…

  • June 4, 2018

Mcheza mpira wa kikapu,STEPH CURRY wa timu ya GOLDEN STATE WARRIORS ya MAREKANI ameiongoza timu hiyo kushinda fainali ya Read more “STEPH CURRY aiongoza Golden State Warriors kushinda fainali dhid ya Cleveland Cavaliers.” →

Entertainment

ShiiKANE Diamond alistahili tuzo

  • June 4, 2018

Mapema mwaka huu NASEEB ABDUL maarufu DIAMOND PLATNUMZ alishinda tuzo kutoka Read more “ShiiKANE Diamond alistahili tuzo” →

Local

TABORA: Biashara ya Viazi Mviringo yashuka sokoni.

  • June 4, 2018June 4, 2018

Biashara ya viazi mviringo katika soko la madukani mjini SIKONGE mkoani TABORA inatoka kwa kusuasua kutokana na kupungua kwa Read more “TABORA: Biashara ya Viazi Mviringo yashuka sokoni.” →

Local

Mkoa wa TABORA una wanafunzi watoro 12,683 wa shule…

  • June 4, 2018

 Akizungumza kupitia kipindi cha MSETO LEO kinachorushwa na kituo hiki, mkuu wa mkoa wa TABORA, AGREY MWANRY amesema hadi Aprili mwaka huu, wanafunzi wanafunzi watoro 8,295  Read more “Mkoa wa TABORA una wanafunzi watoro 12,683 wa shule za msingi na sekondari,” →

International

ISRAEL: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anaanza ziara barani Ulaya.

  • June 4, 2018June 4, 2018

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,anaanza ziara katika nchi za Ulaya. Kituo cha kwanza cha ziara yake ni Ujerumani  ambako anakuja katika nchi ambayo ina mafungamano na Read more “ISRAEL: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anaanza ziara barani Ulaya.” →

Posts navigation

1 2 3 4 5 6 … 140

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise