Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

PESA YA KUMKUTANISHA NAY WA MITEGO NA YOUNGKILLER YAANZA…

  • October 24, 2017
YoungeKiller na Ney wa Mitego

True Boya ni Diss track iliyoachiwa kutoka kwa Youngkiller kwenda kwa Nay wa Mitego na wengi wanaweza kusimama na kuchagua upande wa kumtetea wanayemkubali kimuziki kati ya Nay wa Mitego na Youngkiller kwa maana ya kuwa wawili hawa ni wahasimu wakubwa na wenye bifu kubwa katika muziki wa hip hop Tanznaia.

Tarehe 13 ya mwezi Oktoba 2017, Staa wa muziki wa michano Nay wa Mitego alikaa mbele ya vyombo vya habari akiwa na orodha ya wasanii kama vile QBoy Msafi, B Gway, Chemical na Pam D kisha  kuwa watamsindikiza katika ziara ya tamasha lake lililopewa jina la ‘Nguvu Ya Kitaa’ litakayofanyika viwanja vya Tanganyika Packers.

Hata hivyo hali hii yenye chembe za kibiashara inafunga milango ya bifu na utofauti uliokuwepo kwa muda ili biashara ifanyike na bila shaka mashabiki ni kiu yao kubwa kulingoja tamasha hili huku isifahamike wazi kama kipande cha uchanaji cha ‘True Boya’ ambayo ni michano iliyojaa utata wa kumchana wazi wazi Nay wa Mitego kuchanwa katika kujwaa hasa pale amshabiki wakihitaji burudani hiyo?

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Giggs anavutiwa na kazi Leicester na Everton.
Mitandao ya Facebook na LinkedIn yaongoza kwa kuvunja ndoa za watu.

Related articles

Mashabiki wa klabu ya YANGA…
Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na…
STEPH CURRY aiongoza Golden State…
ShiiKANE Diamond alistahili tuzo
The Story of Adisson yaharibu…
Nicki Minaj kuachia albamu yake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise