Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Rais Mugabe ataka hukumu ya kifo kuanza kutekelezwa Zimbabwe.

  • November 2, 2017
Robert Mugabe.

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ametaka hukumu ya kifo kurejeshwa nchini humo.

Matamshi yake yanakuja baada ya afisa wa wizara ya sheria, kufichua mwezi uliopita kuwa zaidi ya watu 50 washahukumiwa kifo.

Hukumu ya kifo ilitekelezwa mwisho nchini Zimbabwe mwaka 2005, wakati mtu ambaye alikuwa akiitekeleza kustaafu kwa mujibu wa shirika la AFP.

Akiongea wakati wa maziko ya mwandani wake wa siasa kwenye mji mkuu Harare, Mugabe alisema;

“Wacha turejeshe hukumu ya kifo, watu wanacheza na kifo kwa kuuana. Tunataka nchi iwe na amani na yenye furaha na sio nchi ambapo watu wanuana.”

Zaidi ya wafungwa wamehukumiwa kifo, kwa mjibu wa ripoti za AP.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Alichokisema Zinedine Zidane baada ya kufungwa na Spurs.
Speaker wa Bunge Job Ndugai Asema wabunge wapigwe msasa katika suala la maadili.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise