Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Real Madrid yazuiwa na Tottenham Bernabeu

  • October 18, 2017
Tottenham ilifunga bao lake la kwanza dhidi ya Real Madrid baada ya kushindwa kufanya hivyo katika mechi nne.

Tottenham Hotspur ilionyesha kwamba inaweza kucheza katika kiwango cha juu , alisema mshambuliaji Harry Kane baada ya timu yake kupiga hatua kubwa katika kombe la vilabu bingwa kwa kujipatia alama moja ugenini Real madrid.

Spurs iliwalazimu mabingwa hao mara 12 wa Ulaya kupigania sare ya 1-1 katika uwanja wa Bernabeu siku ya Jumanne.

Timu hiyo ya ligi ya Uingereza iliongoza pale Beki wa Madrid Raphael Varane alipolazimika kujifunga kufuatia krosi ya Serge Aurier.

Mabingwa hao wa Uhispania hatahivyo walisawazisha kabla ya kipindi cha kwanza wakati Aurier alipomchezea visivyo Toni Kroos katika eneo hatari na kusababisha penalti iliofungwa na Cristiano Ronaldo.

”Alama moja katika uwanja wa Bernabeu, inaonyesha hatua tulizopiga kama timu” , alisema Kane mwenye umri wa miaka 24.

”Tunafurahi. Ukweli wni kwamba ijapukuwa walikuwa na fursa tulicheza vizuri na kuwazuia”.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Uchaguzi 2017: Kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya Roselyn Akombe IEBC ajiuzulu
Mourinho akana kutaka kuhamia PSG licha ya kuisifu klabu hiyo

Related articles

Wachezaji wanajua umuhimu wa mechi…
Roma yaichapa Barcelona, Yatinga nusu…
Atlanta: Bodigadi wa Mayweather apigwa…
Je Mancity watafanikiwa ‘kuuwasha moto’…
Michael Carrick atangaza kutundika daluga…
Simba SC yatoa silaha zake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise