
TABORA: SAFINA ARTS GROUP limezindua filamu mpya iitwayo SIAMINI
Kundi la Sanaa ya Maigizo la SAFINA ARTS GROUP limezindua filamu mpya iitwayo SIAMINI
Akizungumzia uzinduzi huo,kiongozi wa kundi hilo, SHMAIDER KIBOREY amesema Filamu ya SIAMINI imezingatia maadili ya kitanzania kuanzia uzungumzaji wa wasanii mpaka mavazi.
SHMAIDER pia ametoa amewashuru wakazi wa TABORA kwa kujitokeza kwa wingi siku ya Jumamosi wakati wa uzinduzi wa Filamu hiyo amayo kwa sasa inapatikana mkoa mzima kwa bei nafuu.