Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

TABORA: Wakulima mkoani TABORA wameshauriwa kuacha kilimo cha mazoea.

  • March 16, 2018

Wakulima mkoani TABORA wameshauriwa kuacha kilimo cha mazoea na badala yake kuingia katika kilimo cha kisasa kwa kutumia pembejeo rafiki kwa mkulima.

Akizungumza na CG FM,Meneja Masoko wa kampuni ya YARA TANZANIA,LINDA LIYABA amesema katika msimu huu wa kilimo kampuni ya YARA imepunguza beiĀ  ya mbolea za kupandia mazao kwa asilimia kumi ili kumrahisishia mkulima kupata mbolea hiyo.

Amewataka wakulima kwenda kwa Mawakala na kununua mbolea ya YARA kwa bei nafuu katika kipindi hiki cha msimu wa punguzo la bei.

Pia amesema mbolea za YARA ni bora zaidi katika kilimo cha kisasa na zinasaidia kuchochea mzizi wa mmea kustahimili upepo na mazao kutoharibika.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Jamii mkoani TABORA imeshauriwa kukata kucha mara mbili kwa wiki.
TABORA: Askari akamatwa kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mwanafunzi.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise