Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Trump na Xi waanza mazungumzo baada ya makaribisho ya…

  • November 9, 2017

Rais wa Marekani Donald Trump ameanza mazungumzo na kiongozi wa China Xi Jinping mjini Beijing kufuatia makaribisho ya kifahari katika mji huo wa taifa hilo.

Bwana Trump anatarajiwa kuzungumzia kuhusu vile China inaweza kukabiliana na mipango ya kinyuklia ya Korea Kaskzini swala amblo litatawala ziara yake ya rasi ya Korea.

Marekani inaitaka China ,ambaye ni mshirika mkuu wa Pyongyang kuishinikiza zaidi lakini Beijing imesema kuwa imefanya ya kutosha.

Viongozi hao wa mataifa yenye uwezo mkubwa duniani pia wanatarajiwa kujadiliana kuhusu mapungufu yao ya kibiashara .

Mapema katika zaira hiyo ya mataifa matano, bwana Trump aliitaka Korea Kaskazini kuingia mkataba ili kumaliza mipango yake ya utengenezaji wa silaha za kinyuklia, huku pia akiionya dhidi ya uchokozi zaidi dhidi ya Marekani na dunia nzima , akisema ”musitujaribu”.

Pia ameitaka China kufutilia mbali ushirikiano wao na Pyongyang na kusisitiza wito wa Beijing kulishinikiza taifa hilo.

China imesema kuwa inafanya kila iwezalo na kusisitiza kuwa inatekeleza vikwa vya Umoja wa matiafa kwa ukamilifu.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

TABORA: Mkurugenzi Manispaa ya Tabora atakiwa kuyatatua matatizo ya wananchi badala kuyaacha kama yalivyo.
Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru ang’olewa.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise