Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Vilabu vinavyoshiriki ligi ya mkoa wa TABORA kutoka wilaya…

  • November 20, 2017

Vilabu vinavyoshiriki ligi ya mkoa wa TABORA kutoka wilaya ya UYUI  vimehakikishiwa kupewa ushirikiano kutoka katika wilaya hiyo.

Akizungumza na CG FM,Afisa Utamaduni wilaya ya UYUI,DAUDI DANGUCHE amesema ameweka mkakati wa kuvisaidia vilabu hivyo.

Wilaya ya UYUI itawakilishwa na vilabu vya NSAGUZI FC,TURA FC na IKONGOLO FC na ligi ya mkoa wa TABORA itaanza pindi vilabu vyote vikilipa ada ya ushiriki.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

TANESCO mkoa wa TABORA yalalamikiwa kwa kushindwa kushiriki kikamilifu katika matibabu ya mtoto ABDULKARIM IBRAHIM
Klabu ya BIASHARA ya MARA Yawachukua wachezaji 05 wa AZAM FC kwa MKOPO.

Related articles

Simba Yamsajili Adam Salamba.
Roman Abrahamovich ahamia Israel.
Kipa wa Liverpool atishiwa maisha.
Haji Manara, Simba na Yanga…
Serengeti Boys wa Tanzania watwaa…
Wachezaji wanajua umuhimu wa mechi…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise