Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Viongozi wa Catalonia wazuiwa rumande Uhispania

  • October 17, 2017
Viongozi wa Catalonia wazuiwa rumande Uhispania.

Jaji nchini Uhispania amewazuia rumande wanachama wakuu wa harakati za uhuru wa Catalonia.

Jordi Sánchez, ambaye anaongoza bunge la Catalonia na Jordi Cuixart, kiongozi wa vuguvugu la Omnium Cultural, wanazuiwa huku wakifanyiwa uchunguzi wa uhaini.

Wanaume hao wanaonekaka kama viongozi wakuu wa kupanga kura ya uhuru wa tarehe 1 Oktoba ambayo ulifutwa na mahakama ya Uhispania.

Serikali nchini Uhispania ilitangaza kura hiyo kuwa iliyo kinyume na sheria.

Kufuatia kura hiyo kiongozi wa eneo la Catalonia Carles Puigdemont, alisaini hatua ya kutangaza uhuru lakini akazuia kutekeleza tangazo hilo.

 

Watu wanaounga mkono uhuru wa Catalonia mjini Barcelona.

Ametaka mazungumzo kufanyika ndani ya miezi miwili inayokuja.

Hata hivyo serikali ya Uhispania imeonya kuwa Catalonia ni lazima ifute tangazo hilo au ikabiliwe na uongozi wa moja kwa moja kutoka Madrid.

Bw. Puigdemont pia ameikasirisha Madrid kwa kukataa kuthibitisha ikiwa ametangaza uhuru au la wiki iliyopita.

Bw. Puigdemont ambaye amepewa hadi Alhamisi kutangaza msimamo wake, aliishambulia serikali katika mtandao wa Twitter kufuatia habari za kuzuiwa kwa Bw. Sánchez na Bw. Cuixart’s

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Diane Rwigara amwomba Rais Kagame afueni.
Mwandishi maarufu auawa visiwa vya Malta

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise