Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

Waziri Ummy awataka Watanzania kutowaficha watoto wenye maumbile tofauti.

  • June 5, 2018

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka Watanzania watakapoona mtoto ana maumbile tofauti wawasiliane na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ili kuokoa maisha ya watoto huyo.

Ummy amesema kuwa watakapoona mtoto amezaliwa akiwa na maumbile ambayo hayajazoelewa wawapeleke katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kupatiwa msaada.

“Naomba nitoe rai kwa Watanzania wote pale ambapo anazaliwa mtoto angalau labda ni tofauti na ilivyozoeleka wawalete hospitali yetu ya Taifa ya Muhimbili iweze kanavyo ili tuweze sasa kuhakikisha madaktari wetu bingwa wanatoa msaada ikiwemo kuwatenganisha. Kwahiyo tunaangalia kama tutawatenganisha ndani ya nchi au Nje ya nchi,” amasema Waziri Ummy, leo Juni 5, 2018 Bungeni jijini Dodoma.

Amesisitiza kuwa ” kwahiyo tusiwafiche watoto hawa, mtoto ambaye tunamuona anamaumbile tofauti wawasiliane na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ili tuhakikishe tunaokoa maisha ya watoto wetu.”

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Guardiola alinichukulia kama adui na alinonea wivu, Yaya Toure.
Serikali wilayani TABORA itawachukulia hatua wananchi wanaochafua mazingira.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise