Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Asilimia 67 ya maradhi ya tumbo yanatokana na uchafu…

  • October 15, 2017October 15, 2017
Asilimia 67 ya maradhi ya tumbo yanatokana na uchafu wa mikono.

Akizungumza na CG FM katika kuadhimisha siku ya kunawa mikoni, Afisa Afya Mwandamizi wa manispaa ya TABORA VEDASTUS CHEYO, amesema watu wanakosa umakini wa kunawa mikono hali inayosababisha kuugua magonjwa ya  ya tumbo.

Naye Dakari JUSTINA NKOME wa Kituo cha Afya cha EPHATA katika Halmashauri ya Manispaa ya TABORA amesema wazazi watumie siku hii kuzingatia usafi kwa watoto wao ili kuzuia vifo kwa sababu watoto elfu mbili hufariki duniani kila siku kutokana na madhara ya kutonawa mikono.

Maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani kwa TANZANIA husaidia kuhamasisha umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni na kukuza uelewa wa jinsi inavyosaidia katika kuokoa maisha ya watoto na jamii kwa jumla.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni mikono safi kwa manufaa ya sasa na ya baadaye.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Yaya Toure aonya kuhusu kombe la dunia Urusi.
Shule ya sekondari ya kata ya ITONJANDA katika Halmashauri ya Manispaaa ya TABORA wanakabiliwa na matatizo mbalimbali kutokana na kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise