Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Entertainment

Dogo Janja awaonya wanaomtamani Uwoya.

  • March 7, 2018

Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja ameonyesha ni kwa kiasi gani anampenda mkewe, Irene Uwoya.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Ngarenaro’ ameonyesha kutopenda mtu yeyote mwenye nia mbaya kuwa karibu na mke wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dogo Janja ameandika;

Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife❤#AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu😏

Soma Pia; Irene Uwoya awajibu wanaosema kaolewa na ‘Kibeni 10’ Dogo Janja 

Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwa kufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyo ni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana na namna walivyoliweka suala hilo hasa kwa upande wa vyombo vya habari na mitandao.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

TABORA: Mafuta ya Mawese yapanda bei SOKONI.
MARA: Mwanamke ajinyonga kwa tuhuma za wizi wa Bata

Related articles

Mashabiki wa klabu ya YANGA…
Lagos, NIGERIA: Yemi Alade na…
STEPH CURRY aiongoza Golden State…
ShiiKANE Diamond alistahili tuzo
The Story of Adisson yaharibu…
Nicki Minaj kuachia albamu yake…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise