Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Jarida la Grazia UK walimdhihaki Lupita Nyong’o, Vogue wamtumia…

  • December 12, 2017

Ni mwezi mmoja sasa umepita toka mwanadada Lupita Nyong’o alijie juu jarida la Grazia kwa kuonyesha ubaguzi dhidi yake na watu weusi, hata hivyo Jarida la Vogue nalo likapata nafasi kwa kumtumia mrembo huyo lipamba kava kwa mavazi yake ya kumeremetea.

Mrembo huyo mwenye asili ya Kenya na Mexico amepata shavu hilo la kukava jarida nguli dunilani la Vogue linaloyatajiwa kutola mwanzoni mwa mwaka na huku akitarajiwa kuzuongelea masuala ya mashusiano, sanaa yake pamoja na masuala ya unyanyasaji wa kingono ambao aliripoti kufanyiwa na mtayarishaji mkubwa wa filamu duniani Harvey Weinstein.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Trump matatani ukatili wa kijinsia
Takukuru yaendelea na uchunguzi wa jalada la Mh. Mnyeti

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise