Ligi daraja la kwanza TANZANIA BARA iNaendeleaa jioni hii…
Ligi daraja la kwanza TANZANIA BARA inaendeleaa jioni hii kwa michezo mitatu ya makundi yote ya A B na C.
Kundi A kuna mchezo kati ya klabu ya MVUVUMWA ya KIGOMA dhidi ya JKT MGAMBO ya Tanga katika uwanja wa UHURU DAR ES SALAAM
Kundi B Katika dimba la AZAM COMPLEX DAR ES SALAAM POLISI DAR inapambana na wagosi wa kaya kutoka TANGA COAST UNION na Kundi C ndugu kutoka mkoa wa MWANZA PAMBA wanapepetana na ALLIANCE katika uwanja wa NYAMAGHANA MWANZA.