Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Makanisa yanayotoa huduma za maombi usiku yapigwa marufuku

  • April 30, 2018

Makanisa ambayo yanatoa huduma ya maombi nyakati za usiku yamepigwa marufuku na serikali nchini Kenya kufanya hivyo.

Serikali katika Kaunti ya Narok imesema kuwa maombi hayo yanapelekea mimba za utotoni kuongezeka wengi wao wakiwa ni wanafunzi.

Amri hiyo imetolewa na Kamishna wa Kaunti ya Narok, George Natembeya Ijumaa ya wiki iliyopota. Ambapo amesema kwa mujibu wa takwimu za Kaunti hiyo zinaonesha wastani wa wanafunzi 15 wanapata mimba kwenye kila shule katika kaunti hiyo.

Natembeya amesema kuanzia mwezi Machi hadi Aprili tayari wanafunzi 17 wamepata ujauzito katika shule ya wasichana ya Suswa, hii ni kwa mujibu wa taratibu za kuwapima mimba kila baada ya miezi miwili.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wanafunzi wa Elimu ya Juu watakiwa kufanya utafiti.
Magufuli: Wapuuzeni wanaodai serikali ya Tanzania inakopa sana

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise