Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi makubwa zaidi ya…

  • December 4, 2017

Marekani na Korea Kusini wameanza mazoezi makubwa zaidi ya pamoja ya kijeshi kuwai kufanywa kati ya mataiafa hayo mawili.

Miongoni mwa ndege 230 za vita zinazoshiriki kwenye mazoezi hayo ya kila mwaka kuna ndege sita za jeshi aiana ya F-22 Raptor stealth fighters.

Hii inafanyika wiki moja baada ya Korea Kaskazini kulifanyia majaribio kombora la masafa marefu kinyume na vikwazo vya Umoja wa mataifa

Jeshi la Marekani lilisema kuwa zoezi hilo la pamoja ni la kuhakikisha kuwepo amani na usalama katika rasi ya Korea.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Jordan yaionya Marekani ikiitaka isiutambue Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
Usiku wa Kitendawili kufufua upya Uzalendo na Utaifa – Mrisho Mpoto

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise