Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Marekani yatathmini kufunga ubalozi wake Cuba.

  • September 18, 2017

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amesema Washington inathamini iwapo ifunge ubalozi wake nchini Cuba, baada ya kutokea mlolongo wa mashambulizi ya kelele kwa wafanyakazi wake.

Sasa zaidi ya wafanyakazi 20 wa ubalozi wa Marekani wameripotiwa kuwa na matatizo ya kupoteza uwezo wa kusikia au kupatwa na mfadhaiko kutokana na sauti hiyo.

Marekani imeiambia Cuba kuwa ina jukumu la kuwalinda wafanyakazi wote wakigeni wakiwemo .

Cuba imekana kuhusika na swala hilo huku uchunguzi zaidi ukiendelea .kujua chanzo cha watu hao kukumbwa na matatizo hayo ya kiafya wanayoyauzungumzia.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani kitendo cha KOREA KASKAZINI
Stanislav Petrov, aliyezuia vita vya nyuklia wakati wa Vita Baridi afariki akiwa na miaka 77.

Related articles

Guardiola alinichukulia kama adui na…
TABORA: Ushiriki wa wazazi kusoma…
Milioni 334 zatengwa kwa ajili…
Macron aanza ziara yake nchini…
Mwakyembe aagiza Nandy akamatwe, Diamond…
Arsenal yanusurika kombe la Yuropa,…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise