Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Milambo FC tunaelekeza nguvu zetu katika ligi daraja la…

  • September 25, 2017September 25, 2017
Kikosi cha Milambo FC kilichocheza dhidi ya Simba SC ya jijini Dar es Salaam

Baada ya kutoka sare tasa na wekundu wa msimbazi SIMBA katika mchezo wa kirafiki,klabu ya soka ya MILAMBO FC ya mkoani TABORA imesema kwa sasa inaelekeza nguvu zake katika mashindano ya ligi daraja la pili.

Kocha mkuu wa MILAMBO,ANDREW ZOMA amesema kwa wiki moja iliyobaki atahakikisha anayafanyia kazi makosa madogomadogo aliyoyaona katika mchezo wa jana.

Kwa upande wake msemaji wa klabu ya SIMBA HAJI MANARA amewataka wana TABORA kuipa ushirikiano MILAMBO ili ipande ligi daraja la kwanza na badae ligi kuu. SIMBA na MILAMBO wamecheza mchezo huo kwa lengo la kuviandaa vikosi vyao katika ligi wanazoshiriki.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wananchi wa mkoa wa TABORA wamehimizwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Watoto maarufu kama TOTO AFYA KADI ili kuepuka kero ya matibabu.
Misri: Mashabiki 12 wa soka wahukumiwa kunyongwa na wengine 2 wafungwa kifungo cha maisha jela.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise