Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Mamia ya wafuasi wa IS wakamatwa Uturuki.

  • October 30, 2017October 30, 2017
Polisi wa Uturuki wakiwa katika mazishi ya mmoja wa polisi mwenzo aliyeuawa na IS mwezi Agosti.

Polisi nchini Uturuki imewakamata mamia ya watu wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa kikundi cha wanamgambo wa IS.

Raia wawili wa Azerbaijan na wengine 28 wa Syria, ni miongoni mwa waliokamatwa katika mji wa Mashariki wa Erzurum na mji wa Bursa uliopo Kaskazini Magharibi.

Wengine walikamatwa katika mji mkuu Ankara siku ya Jumamosi.

Mpiganaji wa IS aliwaua watu 39 katika ukumbu mmoja wa usiku uitwao Reina mjini Istanbul, na tukio hilo bado limeacha simanzi kubwa.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wanawake kuruhusiwa kuingia viwanja vya michezo Saudi Arabia.
TABORA: Wananchi wapata kero ya kupata matibabu kufuatia mwenyekiti wa Kijiji kula fedha zilizochangwa na wananchi ili kujenga ZAHANATI.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise