Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Mwandishi maarufu auawa visiwa vya Malta

  • October 17, 2017
Daphne Caruana Galizia.

Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi katika visiwa vya Malta ameuawa wakati gari alilokuwa akiliendesha lilipolipuliwa na bomu kubwa upande wa Kaskazini ya kisiwa hicho.

Daphne Caruana Galizia amekuwa akiitumia blogu yake kuandika taarifa zihusianazo na kesi za madai ya rushwa , zikiwemo za wanasiasa nguli visiwani humo.

Gari alilokuwa Mwandishi Daphne.

akati wa uhai wake likuwa akimshutumu waziri mkuu wa visiwa hivyo, Joseph Muscat, na mkewe kutumia akaunti za benki za siri ili kuficha malipo kutoka kwa familia ya utawala wa Azerbaijan suala ambalo waziri mkuu na familia yake wamelikana.

Gari la Zimamoto likiwa eneo la tukio.

Bwana Muscat ameyaita mauaji hayo kama kuua tendo baya kuwahi kutokea visiwani na kuahidi kuwa atahakikisha waliotekeleza tukio hilo na muuaji wanafikishwa katika mkono wa sheria.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Viongozi wa Catalonia wazuiwa rumande Uhispania
Video: Fama – Kama Namuona

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise