Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Mwili wa mtoto wa miaka 3 aliyefukuzwa nyumbani usiku…

  • October 23, 2017
Polisi na raia wakitafuta mwili wa mtoto huyo.

Polisi huko Texas wanasema kuwa wamepata mwili wa mtoto wa miaka mitatuSherin Mathews ambaye alitoweka tarehe 7 mwezi huu, wakati babake alimfukuza kutoka nyumbani kwao mwenda saa tatu usiku kama njia ya kumuadhibu.

Polisi waliwaambia waandishi wa habari kuwa mwili huo ulionekana kuwa wa Sherin ambaye habari za kutoweka kwake zilisambaa mjini Dallas na India.

Wanandoa hao kutoka India walimpangisha mtoto huyo miaka miwli iliyopita kutoka makao ya kuwatunza watoto nchini India.

Polisi hata hivyo hawajatoa taarifa kuhusu ni kipi kilisababisha mtoto huyo arafariki.

Mwili huo ulipatikana kwenye andaki kuribu nusu maili kutokan nyumbani kwao siku ya Jumamosi.

Babake Sherif, Wesley Mathews alikamatwa na kuachiliwa kwa dhamana, kwa kuhatarisha maisha ya mtoto huyo baada ya kumfukuza kutoka nyumbani usiku kutokana na sababu kuwa alikataa kumaliza maziwa aliyokuwa akinywa.

Mamake anasemakana kuwa alikua akilala wakati kisa hicho kilitokea.

Wanandoa hao wana mtoto mwingine wa miaka minne ambaye alichukuliwa kutunzwa baada ya kisa hicho.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Rooney ashindwa kuisaidia Everton Goodison Park.
Mpiga mbizi aogelea kilomita 7.5 baada ya kuachwa na mashua Australia.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise