NICKI MINAJ AKANUSHA KUDAI YEYE NI CHANZO CHA RAPPERS…

Nicki Minaj amekanusha habari zilizoandikwa kwenye blogs mbalimbali kuwa alisema kuwa yeye ndiye aliyewafanya rappers wa kike waende mainstream.
Amevilaumu vyombo vya habari kwa kuandika vitu vya kuvuta wasomaji huku vikipotosha ukweli. Minaj amesema kama itatokea mtu amepata video au sauti akitoa kauli hiyo atampa zawadi ya dola milioni 1. Ameeleza kuwa alichosea kwenye mahojiano ya XXL ni kuwa alikuja katika kipindi ambacho tasnia ilikuwa imewasusa rappers wa kike na hivyo kufanya kwake vizuri kuliamsha tena attention ya wadau kwa wanawake wanaofanya hip hop.
Kupitia Instagram, Nicki ameandika: