Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Pampu za kukama maziwa na kuyahifadhi mwanamke akiwa safarini

  • January 11, 2018

Kampuni mbili zimetengeneza pampu ambazo zitawasaidia wanawake wanaonyonyesha kukamua maziwa na kuyahifadhi wakati wakiwa safarini.

Wanawake wanaotumia pampu kawaida hukamua maziwa mara kwa mara kwa siku na kati ya muda wa dakika 20.

Kwa kawaida huunganishwa kwa stima na hutoa sauti.

Kampuni za Willow na Freemie Libert zimetangenezwa kwa njia ambazo zitakuwa rahisi kuvaliwa.

Kinyume na za zamani, zasasa hutumia betri na hazina sauti.

Zote ziko kwa maonyesho ya CES ya biashara huko Las Vegas.

Willow ilishinda tuzo kutokana na kifaa hicho kwenye maonyesho ya CES mwaka 2017, kwa sababu pampu hiyo imekuwepo kwa majaribio lakini sasa inaingia rasmi sokoni kwa dola 479.

Hata hivyo imekosolewa mitandaoni kutoka kwa wale wameijaribu wengine wakesema kuwa mifuko hiyo ya maziwa ni midogo mno.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Zijue sababu za CR7 Cristiano kuwa wa 49 duniani kwa THAMANI!!!!
Papua New Guinea: Zaidi ya watu 1500 wahamishwa baada volkano kulipuka

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise